Skip to content
March 20, 2023
  • Facebook
  • Twitter
  • Linkedin
  • Youtube
  • Instagram
Bunda FM

Bunda FM

Ngurumo ya jamii

Connect with Us

  • Facebook
  • Twitter
  • Linkedin
  • Youtube
  • Instagram

Tags

Afya Burudani Kimataifa Kitaifa Makala Michezo Muziki Siasa Uchumi na Biashara

Categories

  • Afya
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Makala
  • Michezo
  • Muziki
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • Home
  • Habari Zote
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • About us
  • Contact
STAFF LOGIN
  • Home
  • Simba imeachana na beki wake Wawa
  • Michezo

Simba imeachana na beki wake Wawa

Bundafm June 21, 2022 1 min read

Klabu ya Simba imetangaza kuachana na mchezaji wake anayechezea nafasi ya ulinzi Pascal Wawa raia wa Ivory Coast.

Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu hiyo, imemshukuru Wawa ambaye atacheza mchezo wake wa mwisho akiwa na Simba Alhamisi wiki hii dhidi Mtibwa Sugar.

Wawa anamaliza mkataba wa kuwatumikia mabingwa hao wa zamani mwishoni mwa mwezi huu baada ya kuitumikia kwa mafanikio makubwa kwa takribani misimu mitatu

Bundafm

See author's posts

Continue Reading

Previous: Samatta arejea Fenerbahce Uturuki

Habari nyingine

Samatta arejea Fenerbahce Uturuki
1 min read
  • Michezo

Samatta arejea Fenerbahce Uturuki

June 20, 2022
Simba Yaleta Mchezaji Mpya
2 min read
  • Burudani
  • Kitaifa
  • Michezo

Simba Yaleta Mchezaji Mpya

June 7, 2022
MASHARTI MAPYA KWA MKONGO
2 min read
  • Burudani
  • Kitaifa
  • Michezo

MASHARTI MAPYA KWA MKONGO

June 7, 2022

RATIBA YA VIPINDI VYETU

  • 05:00 - 06:00 :- Hamka na Bunda FM
  • 06:00-06:30:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 06:30-07:00:- Ukurasa Mpya
  • 07:00-07:10:- Taarifa ya Habari
  • 07:10-10:00:- Ukurasa Mpya
  • 10:00-13:00:- Mchaka Mchaka
  • 13:00-14:00:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 14:00-16:00:- Ladha Kamili
  • 16:00-18:00:- Busati la Habari
  • 18:00-18:30:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 18:30-19:00:- Dance Africa
  • 19:00-19:10:- Taarifa ya Habari
  • 19:10-21:00:- Dance Africa
  • 21:00-22:00:- B-Sport
  • 22:00-01:00:- Planet Love
  • 01:00-04:00:- Usiku Mnene

  • Afya (2)
  • Burudani (5)
  • Kimataifa (6)
  • Kitaifa (16)
  • Makala (4)
  • Michezo (4)
  • Muziki (1)
  • Siasa (3)
  • Uchumi na Biashara (1)

Wasiliana nasi

Bunda FM LTD, 92.1 MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
PNONE NO: +255 754 279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216

Masafa yetu

Our major frequency is 92.1 FM, whereby we cover regions of Mara, Simiyu, Mwanza, Geita,Kagera, Shinyanga, Singida, Tabora and Katavi regions.

  • Home
  • Habari Zote
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • About us
  • Contact
Copyright © All rights reserved. | DarkNews by AF themes.