Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars Mbwana Ally Samatta amerejea Fenerbahce baada ya kumaliza mkataba wa mkopo Royal Antwerp ya Belgium.
Samatta ameanza mazoezi na timu hiyo ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2022/2023