Skip to content
March 20, 2023
  • Facebook
  • Twitter
  • Linkedin
  • Youtube
  • Instagram
Bunda FM

Bunda FM

Ngurumo ya jamii

Connect with Us

  • Facebook
  • Twitter
  • Linkedin
  • Youtube
  • Instagram

Tags

Afya Burudani Kimataifa Kitaifa Makala Michezo Muziki Siasa Uchumi na Biashara

Categories

  • Afya
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Makala
  • Michezo
  • Muziki
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • Home
  • Habari Zote
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • About us
  • Contact
STAFF LOGIN
  • Home
  • Mapacha Wenye Miaka 9 Mkoani Arusha Wanaishi Kwa Kula Magodoro
  • Afya
  • Kitaifa
  • Makala

Mapacha Wenye Miaka 9 Mkoani Arusha Wanaishi Kwa Kula Magodoro

gasper June 7, 2022 1 min read

Mapacha wenye umri wa miaka 9 mkoani Arusha wanaoishi huku wanakula magodoro, wanaomba msaada ili wakatibiwe.

Mama mzazi wa watoto hao, Joyce Mrema amesema tatizo lao lilianza wakiwa na umri wa miaka mitatu, ambapo walipowafikisha hospitalini madaktari walieleza kuwa hali hiyo inatokana na upungufu wa madini mwilini.

Mzazi huyo anasema kutokana na kipato chake kuwa cha chini, Joyce ameshindwa kuwahudumia watoto hao ipasavyo , ambapo yupo eneo la Sokoni One, Arusha.

Anasema awali alikuwa akiishi na baba wa watoto hao, lakini alitoweka kutokana na deni la Sh milioni tatu, hivyo kupelekwa mahakamani, ingawa hakufafanua kuhusu jambo hilo.

Amesema kutokana na hali hiyo anaomba msaada ili aweze kuwapeleka hsopitali watoto hao, waweza kupata tiba. “Kwa watakaoguswa wanaweza kuwasiliana kwa namba yangu Joyce Mrema 0763876313, “ amesema.

gasper

See author's posts

Continue Reading

Previous: KUMBE’ BUGANDO INATIBU FISTULA BURE
Next: Sababu risiti za EFD kufutika maandishi yatajwa

Habari nyingine

1 min read
  • Kimataifa
  • Kitaifa

March 12, 2023
NECTA Yasitisha Kutangaza Shule Bora na Mwanafunzi Bora
1 min read
  • Kitaifa

NECTA Yasitisha Kutangaza Shule Bora na Mwanafunzi Bora

January 29, 2023
Matokeo kidato cha nne 2022 yatangazwa, haya hapa
1 min read
  • Kitaifa

Matokeo kidato cha nne 2022 yatangazwa, haya hapa

January 29, 2023

RATIBA YA VIPINDI VYETU

  • 05:00 - 06:00 :- Hamka na Bunda FM
  • 06:00-06:30:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 06:30-07:00:- Ukurasa Mpya
  • 07:00-07:10:- Taarifa ya Habari
  • 07:10-10:00:- Ukurasa Mpya
  • 10:00-13:00:- Mchaka Mchaka
  • 13:00-14:00:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 14:00-16:00:- Ladha Kamili
  • 16:00-18:00:- Busati la Habari
  • 18:00-18:30:- Habari za Ulimwengu (DW)
  • 18:30-19:00:- Dance Africa
  • 19:00-19:10:- Taarifa ya Habari
  • 19:10-21:00:- Dance Africa
  • 21:00-22:00:- B-Sport
  • 22:00-01:00:- Planet Love
  • 01:00-04:00:- Usiku Mnene

  • Afya (2)
  • Burudani (5)
  • Kimataifa (6)
  • Kitaifa (16)
  • Makala (4)
  • Michezo (4)
  • Muziki (1)
  • Siasa (3)
  • Uchumi na Biashara (1)

Wasiliana nasi

Bunda FM LTD, 92.1 MHz
P.O. BOX 452
BUNDA-MARA
E-mail: Ngurumoyajamii@bundafm.co.tz
PNONE NO: +255 754 279 340
+255 755 029 400
+255 717 457 216

Masafa yetu

Our major frequency is 92.1 FM, whereby we cover regions of Mara, Simiyu, Mwanza, Geita,Kagera, Shinyanga, Singida, Tabora and Katavi regions.

  • Home
  • Habari Zote
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi na Biashara
  • About us
  • Contact
Copyright © All rights reserved. | DarkNews by AF themes.