Posted in NEWS

MADRID(Hispania)

Maelfu ya watu nchini Hispania wameshangaa kuona maelfu ya mifugo ikifanya maandamano ya hiari barabarani, na kukwamisha shughuli za usafiri katika miji mikuu kama huu…

Soma zaidi... MADRID(Hispania)
Posted in NEWS

MIAKA MINNE YA JPM

                        MIAKA MINNE YA JPM                Na Conges Mramba,Bunda FM Radio NOVEMBA 5 mwaka huu 2019,Rais Dk.John Pombe Magufuli ametimiza  miaka minne kamili tangu aapishwe kuwa Rais…

Soma zaidi... MIAKA MINNE YA JPM
Posted in NEWS

KATUNI NI SANAA TU, SIYO KASHFA

 Kulingana na Compton’s Britanica Publications Vol. 4, ukurasa 145a mpaka 145c, katuni zimekuwepo tangu katika karne ya 19.  Aghalabu, huchorwa katika kurasa za Tahariri za…

Soma zaidi... KATUNI NI SANAA TU, SIYO KASHFA
Posted in NEWS

MASANGOMA HATARINI KUBURUTWA KORTINI

WAGANGA wa  tiba asilia wako hatarini kufikishwa kortini kufuatia kuwauzia wateja wao dawa ambazo ujazo wake ni pungufu. Waganga hawa wa dawa asilia,maarufu ‘masangoma’ wanadaiwa…

Soma zaidi... MASANGOMA HATARINI KUBURUTWA KORTINI
Posted in NEWS

ACHENI KUPIGA WATUHUMIWA -POLISIWAONYA

Jeshi la Polisi wilayani Bunda,limewaonya wananchi kuacha mtindo wa kujichukulia sheria mkononi pindi wanapowakamata wahalifu. Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Bunda,Daudi Mathew…

Soma zaidi... ACHENI KUPIGA WATUHUMIWA -POLISIWAONYA
Posted in Uncategorized

Salim Kikeke kafunguka makubaliano yake na MO Dewji ubalozi wa Simba SC

Jumatatu ya September 30 2019 mtangazaji wa BBC Salim Kikeke alitangazwa rasmi kuwa balozi wa Simba SC katika jiji la London England, taarifa hizo zilitolewa…

Soma zaidi... Salim Kikeke kafunguka makubaliano yake na MO Dewji ubalozi wa Simba SC
Posted in Uncategorized

Tanzania U-20 huu ndio mtihani wao CECAFA U-20 vs Sudan U-20

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 maarufu kwa jina la Ngorongoro Heroes, Jumatato ya October 2 2019 watacheza…

Soma zaidi... Tanzania U-20 huu ndio mtihani wao CECAFA U-20 vs Sudan U-20
Posted in NEWS

Kala Jeremiaha aivaa BASATA “Wanawapa promo wasanii wanaoimba uchafu”

“BASATA wanapofungia kazi ya Msanii aliyefanya kazi mbaya ni jambo jema sana ni vizuri kukemea lakini bahati mbaya nyuma ya huo ufungiaji kuna wanaotunga nyimbo…

Soma zaidi... Kala Jeremiaha aivaa BASATA “Wanawapa promo wasanii wanaoimba uchafu”
Posted in Uncategorized

Hello world!

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!

Soma zaidi... Hello world!