Posted in NEWS

RC Kagera Aongoza Wananchi Kufanya Usafi Na Kuchangia Damu Baada ya Kuzindua Maadhimisho Ya Miaka 58 Ya Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti amezindua rasmi maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano…

Soma zaidi... RC Kagera Aongoza Wananchi Kufanya Usafi Na Kuchangia Damu Baada ya Kuzindua Maadhimisho Ya Miaka 58 Ya Uhuru
Posted in NEWS

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020

Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020.Wanafunzi  58,699 hawajapata nafasi…

Soma zaidi... Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020
Posted in NEWS

Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria

Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria ambayo yalitumika wakati wa harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa…

Soma zaidi... Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria
Posted in NEWS

Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume

Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika . Anna…

Soma zaidi... Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume
Posted in NEWS

MENONITE WACHAGUANA

Mkutano Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania(KMT)uliomalizika mwezi uliopita,Umemchagua Askofu wa Dayosisi ya Mashariki,Nelson Kisare, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa hilo. Kulingana…

Soma zaidi... MENONITE WACHAGUANA
Posted in NEWS

MADRID(Hispania)

Maelfu ya watu nchini Hispania wameshangaa kuona maelfu ya mifugo ikifanya maandamano ya hiari barabarani, na kukwamisha shughuli za usafiri katika miji mikuu kama huu…

Soma zaidi... MADRID(Hispania)
Posted in NEWS

MIAKA MINNE YA JPM

                        MIAKA MINNE YA JPM                Na Conges Mramba,Bunda FM Radio NOVEMBA 5 mwaka huu 2019,Rais Dk.John Pombe Magufuli ametimiza  miaka minne kamili tangu aapishwe kuwa Rais…

Soma zaidi... MIAKA MINNE YA JPM
Posted in NEWS

KATUNI NI SANAA TU, SIYO KASHFA

 Kulingana na Compton’s Britanica Publications Vol. 4, ukurasa 145a mpaka 145c, katuni zimekuwepo tangu katika karne ya 19.  Aghalabu, huchorwa katika kurasa za Tahariri za…

Soma zaidi... KATUNI NI SANAA TU, SIYO KASHFA
Posted in NEWS

MASANGOMA HATARINI KUBURUTWA KORTINI

WAGANGA wa  tiba asilia wako hatarini kufikishwa kortini kufuatia kuwauzia wateja wao dawa ambazo ujazo wake ni pungufu. Waganga hawa wa dawa asilia,maarufu ‘masangoma’ wanadaiwa…

Soma zaidi... MASANGOMA HATARINI KUBURUTWA KORTINI
Posted in NEWS

ACHENI KUPIGA WATUHUMIWA -POLISIWAONYA

Jeshi la Polisi wilayani Bunda,limewaonya wananchi kuacha mtindo wa kujichukulia sheria mkononi pindi wanapowakamata wahalifu. Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Bunda,Daudi Mathew…

Soma zaidi... ACHENI KUPIGA WATUHUMIWA -POLISIWAONYA