Kala Jeremiaha aivaa BASATA “Wanawapa promo wasanii wanaoimba uchafu”

“BASATA wanapofungia kazi ya Msanii aliyefanya kazi mbaya ni jambo jema sana ni vizuri kukemea lakini bahati mbaya nyuma ya huo ufungiaji kuna wanaotunga nyimbo ili ufungiwe apate promo, ili tuweke balance promo tuliowapa Wasanii waliofungiwa tuilete kwa Wasanii wanaofanya vizuri hata kwa kumpongeza, sio mbaya BASATA wakawapa hata vyeti Wasanii wanaofanya vizuri” Kala Jeremiah akizungumza kwenye mkutano wa masuala ya jinsia na ulinzi wa watoti kwenye sanaa.

Author: bundafm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *