Posted in NEWS

Wazee Bunda wajiundia Chombo cha kutetea maslahi yao

Sylvia Ndamugoba na Jessica Mwita Wananchi wa Mtaa wa Bunda Stoo uliopo mjini Bunda,katika mkoa wa Mara, wameunda Baraza litakaloratibu misaada kwa wazee. Baraza hilo…

Soma zaidi... Wazee Bunda wajiundia Chombo cha kutetea maslahi yao
Posted in NEWS

Hispania yakaribisha watalii kutoka pande zote duniani

Hispania siyo tu inakaribisha bali inahimiza pia utalii wa kimataifa kuanzia mwezi Julai, Hayo yamezungumzwa na waziri mkuu wa nchi hiyo. “Hispania inatarajia watalii, kuanzia…

Soma zaidi... Hispania yakaribisha watalii kutoka pande zote duniani
Posted in NEWS

Marekani yapiga marufuku wasafiri kutoka Brazil

Marekani imewapiga marufuku kuingia nchini humo, wasafiri waliokuwa nchini Brazil katika muda wa wiki mbili zilizopita. Hatua hiyo ni mwendelezo wa juhudi za kupunguza kasi…

Soma zaidi... Marekani yapiga marufuku wasafiri kutoka Brazil
Posted in NEWS

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA BUNDA WALIA NJAA

Na Jessica Mwita,Kibara-Bunda Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya  ya Bunda mkoani Mara wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwalipa stahiki zao kwa  miezi mitatu mfululizo….

Soma zaidi... MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA BUNDA WALIA NJAA
Posted in NEWS

Bunda wailalamikia TCB kusambaza viuatilifu duni

Jessica Mwita na Sylvia Ndamugoba wa Bunda FM BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wameilalamikia Bodi ya  pamba  Nchini (TCB) kusambaza viwatilifu …

Soma zaidi... Bunda wailalamikia TCB kusambaza viuatilifu duni
Posted in NEWS

RC Kagera Aongoza Wananchi Kufanya Usafi Na Kuchangia Damu Baada ya Kuzindua Maadhimisho Ya Miaka 58 Ya Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti amezindua rasmi maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano…

Soma zaidi... RC Kagera Aongoza Wananchi Kufanya Usafi Na Kuchangia Damu Baada ya Kuzindua Maadhimisho Ya Miaka 58 Ya Uhuru
Posted in NEWS

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020

Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020.Wanafunzi  58,699 hawajapata nafasi…

Soma zaidi... Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020
Posted in NEWS

Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria

Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria ambayo yalitumika wakati wa harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa…

Soma zaidi... Serikali inawahimiza wadau na jamii nzima kutunza, kulinda na kuhifadhi maeneo ya kihistoria
Posted in NEWS

Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume

Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika . Anna…

Soma zaidi... Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume
Posted in NEWS

MENONITE WACHAGUANA

Mkutano Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania(KMT)uliomalizika mwezi uliopita,Umemchagua Askofu wa Dayosisi ya Mashariki,Nelson Kisare, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa hilo. Kulingana…

Soma zaidi... MENONITE WACHAGUANA